What’s happening. Very little engagement nowadays. Wadau iko chida gani?
Tuhamie maghufulitalk ama vipi?
[ATTACH=full]188140[/ATTACH]
[ATTACH=full]188141[/ATTACH]
[ATTACH=full]188142[/ATTACH]
What’s happening. Very little engagement nowadays. Wadau iko chida gani?
Tuhamie maghufulitalk ama vipi?
[ATTACH=full]188140[/ATTACH]
[ATTACH=full]188141[/ATTACH]
[ATTACH=full]188142[/ATTACH]
Okwonkwo unasumbua
sawa admin
Seconded!
tuko busy kwa muhindi. tutasoma after 7:00 pm
Kasee sonko amesema muwekewe lifts Kwa apartments.
Wacha tuMake sure yako inapita 10…
Mukamba, unachonga muguu ya nduthi na how much?
Too many matiangi babies posting nonsense. Page mzima imejaa crap or clickbait meatless content
Za @Amused huchokesha akili.
Don’t Waititu me. ‘Chemsha bongo’ is the right phrase.
sasawa buda
Siku hizi unaingia na kujitoa ki nappy seal bila kusema kitu.
Mod wa feelings alisema ukiboeka huko uhame ,wengine tulijenga pambatalk hatusumbuki ,huku nikuiba content muzuri na kupeleka huko .
rink ya makaraotalk?
Leta link ya Hessytalk…
Google pambana na haliyakotalk
Sawa afsaaa
Ndio awache kuteremsha kikapu na kamba hadi kwa mwenye duka for groceries