…how did you come up with it?..
Started some years back nikiishi plot 10. One day nko kwa keja nasikia wamama wa plot wakiongea juu ya boy mmoja mu.handsome. Mmoja kuulizia ni mboyz mgani huyo akaambiwa si ni “kush yule mnono”. I picked it up from there.
4 Likes
the same plot ulikuwa unachungulia kwa bafu?:D:D
2 Likes
Yes
I love Jeep Wrangler
Ka uanelewa swa poa utashikanisha. Nilitoa kwa hii ngoma. At 2.11
1 Like
Ferk em, that’s mine.
Big chune!
I like numbers and that one is easy on the tongue
Z Nation
mine is a corruption of Busy Signal…na since napenda P lazima ningeongeza kachumbari