Saitan ananitembelea January. Nimeona hiyo poll ya @cortedivoire nikaona results laptop ikaanguka chini violently hadi screen ikacrack. Kureplace hizi vitu ni mangapi? Na wapi?
10k screen poa
Sijui mbona nacheka… "Pole kicheche
Remember me asking around about lap top repairs 2 weeks ago?
Well, I had mine replaced @5.5k and it was a nice and professional job.
Wapi? Saidia namba ka ni Nairobi
:eek: Luwere! Na venye hii Jan niko filthy broke
leta nkutengezee na 5.5k …