Signal freshi kapsaa, battery iko @Sambamba normal day calls,browsing, videos etc nabaki na charge to the next day, nikipiga game kadhaa end of day itafika lakini lazma niiweke kwa charger.
You got yourself the best possible… Ulitamani kula ngurue ukachagua aliyenona kabisa! Halafu, shipping time 11 days, maze you must be very happy with yourself!
Sande mkuu, nimekuwa nikiimezea mate kama @rexxsimba akiona SSBBW lina tako chocolate, after kuona reviews alafu nikama combi ya S na Note series hivi, nikasema kaa mbaya mbaya! @Axelrod alipiga kazi safi sana hata haikukaa, kidogo natumiwa pics za simu kukagua specs nini, packaging, hio kwa ndege naskia ishafika banae.
No fucking way ni kama wewe hujatumia OneUI. And by the way rooting is only suitable for phones with serious bloatware and less space to run things. Ukiwa na 12GB RAM na 500GB onboard storage, flashing ROM shouldnt even be on your mind. So far as it stands OneUI is among the cleanest UIs out here
Usifanye upussy kama iyo ata kidogo. Flashing ROM is left for phones under 30k. Utajimess mbaya sana. At that price range you are getting premium top of the cream.
Absolutely fantastic buy. The piece of mind hii simu itakupea hutawahi rudi kwa Naomi na Infinichieth. That is why Nyamgondho woud Ombare moved away from shainise brands kitambo sana. Mimi ni team pixel but I also have a Samsung Galaxy Tablet with very fluid one UI