@Yuletapeli Always pay cash. It’s 50% cheaper.
I bought two samsung A05, nikapea my sons, waki behave kwa nyumba ndio wanalipiwa, waki fail kufanya vile wanafaa wakitoka shule wanakauka. Inasaidia sana ku deal na wao otherwise wangekuwa na zile hazifungwi wangekuwa wanatokea shule wanajifungia kwa rooms zao na ku zubaa kwa simu waki watch kina siren head, na kucheza games roblox na sahizo hawajaoga ama kufanya homework wananuka kama kuku. Ilibidi nirudie my TECHO spark 7 buana. Sahi najivunia my favorite phone.
Phone nowadays have features that locks the phone for kids, si lazima ulipie 50% extra sababu unashindwa kucontrol watoto wako
Hehe, but sijaona kulipa extra ikiwa kazi, intention ndio muhimu… wanajua wanafaa kufanya ABCD na watakuwa rewarded ama wakauke. Sio lazima kama mzazi utumie approach ya headmaster ya kuwakalia. Na wamekuwa very disciplined. Natumiwanga message na simu ya mama yao ikisema “Baba tushamaliza, tulipie simu tusiboeke”, nawalipia juu ni agreeement.
Sasa next week wanafunga shule, my lawd!!! huwa sasa ni kukimbizana na makesi haziishi.. ![]()
Wanaitwa maboyz!!
Nawafunza kujua kuji express na kufanya according to agreement, kwa ufupi ku honor their words.
Hao nikiwaachilia wajitawale.. watapandisha mama yao pressure.


