Kuna words hutumika hapa na ukiskia mtu kwa mtaa akizitumia unajua tu yeye ni ktalker!
Kuna beste nimemtembelea kudiscuss biz kiasi .
In the middle of our conversation akasema " meffi " ile @Jirani anapenda kutumia , then kidogo tena akasema " upuss"… Kukaa kaa kidogo after kuona haga ikipita akasema tena " hii nikipata ni hadi kwa “settings”
Back in my mind nikajua oooohh kumbe pia wewe ni mwana kijiji!
Many people are. Some guys I know fish hekayas and pics from here to post in other groups and I can see what they are doing.
si ujaribu tu uweke ka skechi ka hiyo figure ina-invoke thoughts of settings…
Post their photoz chini ya maji…uwashtue kidogo
Really? Na mtu aki post yako?
Unataka nichikwo?
@wheelz, SG9 Forester 6MT, mint condition ni how much?
6F? Is that an STi? Approx 1.6m. But I haven’t dealt with Subaru for a while now.
I have never met a ktalker in real life but you never know who is who
deskates create anaa handle
Yes. What do you deal with siku hizi, za Bavaria au Stuttgart?
hehe…labda baadaye sio leo. they will figure out if i do it soon. Unajishuku?
Vile umepost thread atakujua obviously kama ni member.
la sijishuku
Import.
It’s that time again.
Next weekend import inaland mombasani.
BTW nani anajua vile taru kuko? Washamaliza au bado?
Bado…Jambojet kaka
Nakasirikanga nikiskia hio jina import:mad: :mad:
Mrwanda?
Pole, suggest a better name
Mbona? Uli-importiwa kitambo? Au uliji-export?