When Kenya Railways posts a loss of 24 billion, ni same na muamke kesho asubuhi mpate Thika Highway imebebwa na maji.
Io convenience kidogo mnapewa na shirika la reli ni costly sana, na ile 24 billion ingeunda barabara ingine kama thika road, ndio itatumiwa kucover io loss.
24 billion enye ingewajengea hospitali na kupea nyinyi maji safi ndio itacover io loss.