It’s a win win…
If you have kids.. shikia yeye ama wao small gifts. Hio mia bili haitapotea bule.
Ambia @cortedivoire afanyie mniaju wake Lichoti hivi… Si ku spend 150 on lanye for shot and 100 kwa base ya mtura daily.
Meffi wewe
@Yuletapeli, unafanya nini nyuma ya Mariamu ya Kanjo?
Hehe, mimi ni mbisha nmegongana nayo pale X… nka sema wacha ni motivate ma deadbeats kiasi