Then niende Kuwatch Leicester na Tote nikishika County.
Wakameat amenyonga sana
Mundu ghassia wasichana wako wamefikisha ile umri ya kuwa kitoweo ama bado?
Iko sawa hiyo, just enough, sio kushiba sana.
Nipate my daughter na Midget kama wewe, I ran you over na gari, ghasia!
Wewe at 54yrs bado unakunja 19yr old KMTC girls na hutaki wako wakulwe na elders??
Am working on becoming a part time lecturer in these many upcoming technical institute. Watanipata huko nimewangoja hii design…
Maisha ni funny hata wewe kuna ghaseer njoro inangoja maembe iive akule. ama aonje na chumvi. Hio time ikifika omba ukue na nguvu otherwise utashikwa na kiharusi. Ngumu sana my friend…
Elder lakini hii tabia ya kula ugali na fork, visu ama vijiko ilitoka wapi.
Na ati ni mluhya.
That is how it is served, I don’t use them.
Wewe si mluhya oriji
Never a dull day😂
Kusema ukweli mimi ni Mkikuyu (known for being drunkards and poor feeders) na hii siwezi shiba
Iko sawa but inakaa iko dry kama senye ya lanye
Avoid ugali avoid meat instead eat nothing.
Nimeanza kushuku wewe ni mpishi ama waiter
Ni waiter.
.
Ha ha ha, sawa, leo napika Red Snapper Fillet, nitakuwekea.