Another gangster caught on camera in the killing of the wholesaler in Eastleigh few days ago, was shot dead last evening.
[ATTACH=full]54890[/ATTACH]
Hii tuliongea jana mpaka tukaelezwa sababu za yeye kutokwa na damu kwa mapua
toa hii meria… tulizungumuzia jana mseh
ni nini ES? kwani uko timezone gani?
Import manenos ndio zilimchanganya
ES lock imekatalia ndani eh?
Endelea kukamua tu.
Haya, huyo amekula dengu zake. Na hawa jee, non-shiny eyes na mboch facilitator?
Hii makede ndio iweze kaa vizuri!! LMAO