Slow in downloadin

Wadau mtu aniokoe hapa my phone is just too slow in opening videos as small as of 3mb.is there an app i need or maybe ma settings haziko poa coz am on zukus 5mbs mambo ya vpns pia sijui poa someone take me thru this challenge priss.am using samsumg note 10 plus.sande sana

is it just your phone or all devices

Lakini brota hii 5Mbps simu inanusa arufa ya wifi na aiwezi iona

Just my phone other devices ziko tu na pace poa

Kaka hii 5mbs inakuwaga tu sawa you tube no buffering at all na pia phone za other guys ziko tu na pace poa

did you see my first post really, sasa wewe uza hiyo sansung yako nunua simu

uza hii samsumg nunua samsung thread solved and closed

[ATTACH=full]332204[/ATTACH][ATTACH=full]332205[/ATTACH][ATTACH=full]332204[/ATTACH][ATTACH=full]332205[/ATTACH]

Si expect kupata watiaji hii side ya technology but iko tu sawa wacha nipambane na hali yangu its never that serious

Backup your phone to Drive and factory reset.