Watching Citizen Tv…
A woman weighing a whole 179+ kg…
Hii hata Omwami @uwesmake na-doubt kama atawezana nayo!
Mbisha angalia yutube- Slimpossible.
I’m just glad wameseparate this show from the news.
How can someone in Kenya gain 179+ kg. I thought these kinds of astronomical weight are only found in the West.
Very irresponsible to be honest. Before ifike hata 100+, one needs to evaluate their life choices.
Chunga vile unaongea, I’m 100+kgs.
At least you are tall, so the BMI balances it out. Lakini for a short man/woman of about 5 6’, hiyo ni disaster.
You mean you can tell his height just from his Avatar?
I hope you are tall kama uko below 6.0 feet then ukona shida.
Yeye mwenyewe alisema he is over 6 2’
ndio mtu afikishe 170kgs anakuanga amekaa tu akijiangalia ama?
Mostly ni diet mbaya na kukosa kuwa active. Some of these middle class ppl huwa wana penda kukula vitu za KFC na pizza kila mara.
Ni ile design mtu anadrive, akitoka kwa nyumba akienda anywhere lazima awe na ndae. Na kukula sugary stuff kila wakati.
Pole ndugu, I must have missed it.
Haina noma.
Wacheni ku enjoy @mayekeke. 100kg is overweight even for a height of 6ft 2in.
That’s heavy! Huyo akikukalia unakuwa na ‘near death experience’.
“Overweight” but healthy, that’s all that matters.
nningependa kujua weight ya elder @mabenda4
Mi niko 81kg…6ft tall…not an ounce of fat on me…
So tukiona 6’ 2", 100+kg Male kwa Slimpossible tusishinde tukiuliza ni nani?