Manze @Adeudeu amenikumbusha story za hapo Afya Center ikabidi niangushe hekaya to that effect.
Kuna day flani nilikua narudi campo from zile ma long holiday. Saa hizo nimeamsha lappy ingine apo ivo mambo mbay (HP Envy). Si unajua ukitaka kuenda ocha izo ma side za western western ivi na unadai kufika fasta unaingia kwa chopper kama Blue Line ama North Rift Shuttle. Story za Mbukinya ama Eldoret Express achia kina @Adeudeu wakwaruzwe na paka.
Sasa izi chopper hupatikana pale tu kando ya Afya Center. Si mi nikaamua nifike huko nichukue mat nirudi stress za kuchapwo exile.
Kufika kwa mat nikapata mungikiress flani ndio anachukua ferare akitoa ma receipt tu apo nyuma ya ndai. Kulikua pia na mafemale wawili walikua wamekuja kuboard hio mat. Gauging from their height and complexion, they were Kalenjin. Kabla mi na hao Wakale tulipe ferare, huyo mungikiress akatuambia tuingie kwa mat watachukua fare tukiwa ndani. Si mungich mwenzake akachukua mabag za hao mafemale akaziweka kwa boot kisha akaja kwa mat akawaitisha ferare. Wakampa. I dont know why but hakuniitisha zangu. Mi nikaendelea kuskiza mix ya dj bunduki tu polepole. Otherwise I could have paid him.
After a few minutes yule mungikiress naye akaja akaniitisha ferari akanipa receipt. Kuitisha wale madem wakamwambia washapea ule boys alikua anaweka bags kwa boot. Mungikiress akadai hajawahiona mtu kama huyo. Ju mat ilikua almost full na wanatuchelewesha, mungikiress akaambia hao wakale washuke wakatafute ferare. Wakaanza kulia.
Being the caring citizen that I am. Nikaambia huyo madha aache utiaji ju niliona walikua pamoja na ule mungich alichukua ganji ya wale madem. Furthermore ni ye mwenyewe alidai tuingie kwa mat watakujia ferare tukiwa inadi. Nikamwambia ndai haitoki hapo bila hao madem. Mapassanger wengine wakaingilia and the mungikiress lost the case. Si tukachomoka kwenda Eldy. Kumbuka mi nimerudisha headphone kwa kichwa naskiza doba mdogomdogo. Tenda wema nenda zako. You know.
Kufika Cheptiret mzae nilikua nimekaa naye akashuka. One of the females akaja nilipokua nimekaa and thanked me for saving them (Hehe. Underline the word saving.) Baas! Mi nikamchapia haina mambo. I was just doing my civil duty.
Kuongea ongea nikajua pia yeye ni wa pale Moi Uni na akanipa namba yake ati tutabonga. Kwanza nikampeleka Hostel J na mimi nikaenda kwa maninja huko M.
Two days later si akanipigia jioni eti nimsaidie lappy aandike report ya attachment. Mi nikajijazia. Nikaruka shower nikapiga waba na nikabeba makondiko zangu favourite za femiplan (Zilikua zikinuka kama ma strawberry and could work wonders in case the pooosie had a stench)
Acha nisiwakasirishe na story mrefu. Nilifika huko na hakuna report tuliandika. Threshold tulifika lakini hutwo tuvitanda twa io hostel ni tudogo manze. Ilibidi tupeleke mechi kwa floor.
MORAL. When you save the day, do not act like you want payment. Kama ni slices zitajileta hata kama hujaulizia. Ni hayo tu.
*Sips Tea
[ATTACH=full]101247[/ATTACH]