Posted by @SledgeHammer
Nyumba yenye haijakamilika alafu ikutwe na kanjo ?.
moral proceedings ni gani before kesho ifike??.
nigga zenye zimeunda hio hao zimesepa ziliposkia harufu ya kanjo… Nimeachwa hapo nikijibizana na wao nikichanganikiwa ka fala nikama interview…
maswali mengi aje… mara plan sijui ooh settlement base… ooh kodi… sijui registration sijui nini…
enlighten me vile nitachapia mwenyewe