Skyworth v TCL

Watu wa Samsung, Sony na LG nyamazeni…

Kati ya hizi mbili which is the better brand?

Have a tcl that can’t run Netflix… /login I to Netflix…

i have a tlc, comes with a soundbar, ile kitu ni moto bana

Which model… Mbisha

Model?

TCL ndio value for money… kwanza hiyo 55 inch iko na soundbar, a gem

TCL anytime

watu walisema tcl ni 3rd largest in the world na iko na quality kuliko wengine wa bei the same

Tcl

Tumia tu TCL juu iko na pik clear skyworth si tv iko na pik mbaya watu wanakaa wablack na red colouring effect mob but before ubuy ambia huyo dealer akuekee flash uone pik kama ni quality ama ni ya upuss ni hayo tu :D:D:D

Bei ?? Mbisha ??

Both are in the top 5 Electronics manufaturers in China. For Home electronics, TCL is number one

TCL is way better imo

cheki jiji.co.ke for prices na youtube reviews pia. Time ya kubuy enda sky mall Luthuli Banadir electronics… watakupea mali safi sana at a good price
[ATTACH=full]298381[/ATTACH]

TCL hauwezi compare na Skyworth. Kwanza gaming clarity ya TCL iko juu sana.

Moto kabisaa

Mi natafuta 32-40" second hand. Siwezi toa 40k ya telly mpya na hii uchumi ya corona. Somebody put me on. Budget ya 15k

UKA 32" is going for 11,300 on Jumia.

Unless unataka ku compromise on resolution (you can get HD or FHD instead of UHD) and not an actual smart tv.

Mahali naishi hakuna home internet so hata kama si smart TV iko sawa. Bora seller ni legit