Jaba1 : Leo ni opening day bana nimetoka kulipa mathao kama 160 ya mapickney wa mine. Hiyo si ni kama mita nusu kwa mwaka… Mwanaume ni bidii, nakwambia. Ebu pitisha hiyo kikombe Maish.
Jaba2: Hiyo Kama unalipa kuanzia class 1 si hata ununue Tu Range Rover alafu uipake rangi ya gold Kama sonko
Jaba3: Hizo ni shamba Kama foti huko Ruai… Kai!
Jaba4: Naona zimeshika Leo hadi mumeanza kupeleka watoto private…