[SIZE=5]Is it just me or does this vehicle look a little skewed - Camera angle notwithstanding?
[/SIZE]
[ATTACH=full]93492[/ATTACH]
Mahindra Bolingo
Designed by Bingwa Scrotum
hio tuktuk iko na largest cargo capacity aje ?
Hio bumper inakaa itaanguka anytime
Kabisa
Wacha wahindi wajibambe na hizo mahindra bolingo.
Endelea kuongea mbaya na next month ndio utakuwa unasupply mali za muhindi nayo…
With lots of inspiration from @misty!
hizi gari c hua noisy…
Kama zile Mahindra za karao back in the day. We could tell their distinct noise from four blocks away. Boyz wote wanaingia nyasi kazi ni kusorora tu toka magizani.