SK Macharia's Royal Media To Launch Dholuo TV Coming Monday

Business Mogul Billionaire SK Macharia is expanding his empire by tapping on to the lakeside brothers and sisters.

[SIZE=6]RAMOGI TV[/SIZE]

Okuyu kweli ako na akili za biashara

Wacha he taps. If jamaas are not entrepreneurial, wafundishwe. Chinese would have done it anyway.

Utasikia china tv

Raila akishindwa tena afunge hio station.

Raira akiingia SK atakuwa trillionaire. wasapere ni watu wajanja .

Wakikuyu lazima tukule pesa ya Jaruo

In Zambia they learn Chinise from Grade 1 just like English

Profiting from Luo’s sense of entitlement and pride. Very smart.

Hakunaga TV ya ki-luo?

Kunayo called lolwe, was owned by Jakoyo Midiwo

Niggas talking like Lolwe TV doesn’t exist. Akili kwa kinyesi as always

Mimi biashara yangu na ya SK M are at war. Ile kitu hatupendi ni kumulikwa na Citizen TV tukiwa Mlimani Court. Sasa tutamulikwa na Ramogi in Dholuo! YAWA!

But, why is it that people like Hanningtone Gaya (with 7 magazines), Dan Aceda, Tuju, Jakoyo Midiwo, Sakaja (na ma billboards) and all the other lake side media owners did not see money in having a TV station.

Hate them or love wakikuyu wakujuu kibiashara

SK profits from the handshake, probably helped in the talks and the decimation of the wolf