Hii kiboko naweza para wapi kuna ng’ombe @Art imenizoea nitakuja kuifundisha adabu[ATTACH=full]101041[/ATTACH]
kasee,sema nikutafutie uta na misale
So ni kiboko ama ni dollar moja unatafuta
How else were we to know he has a dollar?
Kihii giki ni ma biu ni kiaganu. Cheza tu na pesa. Kuna time flani high school niliokota 1000/= nikashaanga niaje hao form ones (easy to spot coz they had shorts) hawajaiona. Nikachukua na kuseti kwa mfuko na kujipa shughli. Kidogo naona form ones wakinifuata. Walidai hiyo pesa ni yao ati walikuwa wanatry kucheki kama kuna mtu atapick. Nikawauliza shida yao ni nini since nilishawai. Wakadai nirejeshe. Niliwaweka makofi za kimanyoko na kuwaambia Gags wapeleke KTN.
upusssssss
They use this in SA. Old clip.
Hiyo ni ngapi
Sawa Shutto
Tafuta masai akuuzie nyahunyo na uache kutusumbua. Whether you calling it sjambok or whatever fancy name you feel like it’s still a nyahunyo.
I found this 4k around 6:30am one morning and since I wanted to prove it wasn’t a trap nikapiga picha kwanza.
[ATTACH=full]101069[/ATTACH]
Hii WaZulu wanatumia kuchunga ng’ombe huko Kwazulu Natal. Hata mimi naitafuta, ukiipata nishtue.
Trust me, it is better than the Maasai nyaunyo.
Sjambok reminds me of a story from Encounters From Africa. (The prisoner who wore glasses).
Span One.
Kihii na uache kuiba picha. Najua ile dollar umewahi shika ni ile fake inakuja na wallet
[ATTACH=full]101120[/ATTACH]
Yenyewe kasee leo uko slow … ni kyao
Kanono tulia