Siwezi kula chakula bila Nyama

do you have that one proud relative hakulangi chakula bila nyama, and to make it worse hanagaa kakitu ya kuchangia iyo nyama…
hii upuzi sana hukuwa kule muchathaa kwetu. niko na uncle ako na pride imepita ya miguna food bila nyama hawezi kula.na hawezi buy iyo nyama

kuna mtu unajuwa ako na hii upuzi?[ATTACH=full]161291[/ATTACH]

constipation si mchezo

Mimi,but i buy for myself/family…sisumbui kama uncle yako

siwezi kula nyama bila greens ama sideplate ya raw tomatoes/kachumbari

Ile time nimetei tu ndio sifurahii meatless food. Otherwise sina shida ya kumanga chakula bila nyama.

Sio maringo lakini mboga na tambua ni nyama pekee. Supper
[ul]
[li]Mon -Beef[/li][li]Tue- Liver[/li][li]Wed- Omena[/li][li]Thur- Matumbo[/li][li]Fri -Pork[/li][li]Sat- Fish[/li][li]Sun- Chicken[/li][/ul]
Na hivyo ndio my week ends

Matumbo na sawdust hakuna tofauti

:eek::D:D

Najua haina nutrional value but napenda sana ikiwa na mboga kienyeji ama skuma

Siwezi kula chakula bila nyama na sio maringo, hata breakfast saa zingine mpaka nikule nyama fry.

Hehehe hii yako ni ngori

anza kujitayarisha kula mamboga stock yako itaisha. kuna time when i planned for my meals the question was never whether i’d have nyama that day but what would i get to accompany my nyama. today nikiweka nyama kwa food ni piece mbili za kupatia mboga a slight taste. nyama choma in spite of the way i like a nice fatty piece sometimes nakaa mwezi. and no, i don’t have gout.

t

this i do when i have a long field work day ahead.

Nyama nimekula sana ata saii nataka kukata meat itake…any alternative juu veggies pekee hazipiti kwa koo

Kuna time nmezoea nyama daily till doc @Luther12 warned me. Sai labda fish, once a week na beef once in a while. Hunnies wangu pia ni vegeterian. Sitasema chenye kilinipata. Ahsande daktari for being kind and resourceful

Kuna talker alidai hali nyama imeanzia na jina m. Matumbo, mahuri, mahungu, mani, mathagiro, mitwe, mara, mutura sio nyama. @blueline is it you?

hehehheheh

:D:D:D

Aiiiii ziii hahahahahahahahaha.ume ni bamba

Mimi nataka kuwa vegetarian lakini sijui kama nitatoboa.