Site iko sawa, but closely resembles ile ya @Jigranny

@admin the upgrade is nice but kama uko na uwezo wa kutoa hizi ads in between Thread heads zitoe
[ATTACH=full]161260[/ATTACH]

unataka anukishe kitunguu aje

Shida ni vile after 2 headings unapata kuna ad, tulizoea zikiwa pale juu ama down…si huku katikati…ama kwa mkataba na xenforo waliaambiwa ad visibility watilie maanani ndio kitunguu inukie kama @Female Perspective akienda kumeet client:D