Think media should play this song daily to the run up to the general elections same way they did Erick Wainaina’s Daima Kenya, to serve as a clarion call to Kenyans to think and vote
CHORUS:Niko njaaa hata siezi karanga
hoehae shaghala bhaghala niko tayari kulipa gharama
sitasimamaa maovu yakitawala sitasimama maovu
yakitawala
Ufisadi, ibinafsi ukabila
kuuza sura wataki kuuza sera
Undugu nikufaana
sitasimama maovu yakitawala siatasimama maovu yakitawala
Hard ku get wadhifa una deserve bila cash ama kashfa
hii society kenye wanaeza share ni nyungu ya busa ama kettle ya shisha
Mfuko unasikia echo
utajua thamani ya mali na size ya kifuli
hujaibiwa juu hauna ka kitu worth risking jail time, police bullets for
unaeza argue crime doesn’t pay lakini huezi dismiss justice ina bei
mwizi ana fourty days, 365 days later anaendelea ku grow fatter
Do anything for power, ready to loose their head for presidency bora
waione kwa currency
sababu gani siko affected na turbulance nikifly angani
nimezoea the same feeling matatu zikipitia pothole mtaani