sister mrembo

Nani ako na sister mrembo wakuvutia mwenye ako tayari kua wapili kwa nyumba

Ujinga yenu inaweza kuwa genetic.
Pass.

zii sina bt nina brother ako tayari kuwa wa pili kwa hiyo nyumba

Iko kwa motherboard.

You wonder why the sun has to cover millions of miles to come and keep such a brain warm, what a waste!!

Ni kama ile ujinga ya @kijanamrefu .

Afadhali i give out my siz to a masaai, akue mfugaji wa ngombe, instead of living with a ngombe like you.

ataolewaje na ng’ombe halafu hiyo ng’ombe itolewe mahari kwetu

Si tulisema ata ikiwa Kama na Njoro pale Kariobangi ni beshte hiyo WD40 tuwache tuu roho safi. Wataelewa tuu.

:D:D:D:D:D damn man that’s savage

hio ni ngombe ya dc iregeshe kwao

imbulu

I have several sexy cousins that are single and ready to mingle sijui kama unaweza wataka

Umemaliza kuweka tyre ya pikipiki pressure?

Zile sweep ziko hapa :D:D:D.

This is not my home… Hizo sweeps ni kama wanajuana personally

Bado.
Would you believe sheppart amekula nozzle ya pump?

Kwani hauipatii chakula?

Iam here DEAR!

wanknanyama unataka kupatiana mkia?