Leo tunakanyaga na kukemea shetani.[ATTACH=full]25534[/ATTACH] [ATTACH=full]25535[/ATTACH] [ATTACH=full]25536[/ATTACH] [ATTACH=full]25537[/ATTACH] [ATTACH=full]25538[/ATTACH] [ATTACH=full]25539[/ATTACH]
Siko nyumbani lakini game bado itashika kwa nangos, star sports ama ptv ama premier sport ama ile itakayoleta game kwa mobdro itaniburudisha na ifanye majamaa wanijenge mfuko wakitaka kujua naonaje game live na sijalipa wale wezi