Ndio nimesikia kwa redio. Eti you can’t be selling or using water and you are not paying tax. Eti watasoma meter kwa your borehole every month and you pay the accrued tax. Everyone must pay tax. Ni bururi ugikura.
Ndii anafanya… :D:D:D:D Will they reimburse me for the cost of digging it too?
Soon wataweka meter/cctv kwa your bedroom wakulipishe tax ya shots na bibi. 1 shot = Ksh 150 tax.
Cc @cortedivoire
@johnpombe The State doesn’t owe you anything.
However, when you are born from the soil of the Fatherland, you owe it your blood.
@sani ninataka siku moja ni plan weekend moja nitoke hapa muranga nikuje huko mau forest “tuongelelee” hii maneno ya siasa. Utengeneze busaa msuri tukunywe as we discuss and debate maneno ya hii sirkal ya arrooor. Na utafutie mimi cheptongilo msuri ya kumalisa baridi ya mau.
Old law. Just Bonobos finding ways to circumvent it as usual.
My parents had a meter fitted on their borehole some 20+ years ago as required by the law.
Lakini maji ni ya serikali
Is this both in the urban and rural areas ?
My parents’ borehole is in the deep heartlands.
Water authorities give you all conditions for a drilling permit and that includes installing a master meter at the head of the borehole. Permit seekers routinely acquire the same without the meter by corrupting those officials.
:D:D:D
Hapa ndio sirkal’s Achilles Heels. Hao hao official ndio tutaongea nao juu ya hii maneno. ION, ni kama siku hizi govt policy is discussed and announced by constipated fools in a rush to use the toilet. Everyone is in a hurry to announce something, however ridiculous and impractical while calling the president’s name 100 times, ndio aonekane anachapa job. Sii Machogu, sii Aisha, sii Catherine Kindukulu Kindiki. Kwanza huyo wa mwisho na soprano. Amenifika hapa(points to the throat).
Kama wanashindwa kucontrol bodaboda, watawezana na meters?
“Borehole” zangu ni za kuchimba manually. Wakujie tax kama wao ni wanaume.
Boreholes ZOTE hulipiwa tangu kitambo. You must be issued with a permit and other conditions before drilling water.
I thought you were talking about shallow wells.
Yours is a shallow well. You don’t involve the gov’t ukichimba but boreholes lazima zilipiwe.
Lipa driller extra cash and he will forget about the government.
Their licence will be revoked na walipe fine wazimu sana hata kama itachukua 10 years ndio igundulike.
1.Drilling processes huwa very aggressive, noisy na a very big cloud of dust husambaa angani, you can’t hide.
2. You must erect reservour tanks with a holding capacity of > 30,000 litres which will raise the eyebrows.
It’s not worth it.
unangoja hizo nugu na panga… kata mwenye anaigia wa kwanza matako and claim tresspass
Uko Pakistan husumbuliwi
kulipa ushuru ni kujitegemea