SIRI

Hakuna haja ya aibu dogo dogo za kufanya Harambee eti mtu ako na bill ya 20 million Nairobi Hospital.

Many hospitals have the same standard machines at Aga Khan.

For every 100k you pay to a hospital, pesa ya specialist ni kama 20k. io ingine ni boarding fee na profit ya parasitic capitalists.

Take your loved one to any low cost hospital with normal ICU/HDU machines.

Enda Doctors Plaza enye iko karibu, unegotiate na specialists huko, bill yako itakua 70% Specialists fees na pesa kidogo boarding.