SIONI UTOFAUTI WA KODI YA KICHWA NA YA MAKAZI

Sio lazima kufuatisha utaratibu wa nchi nyingine, huku kukamuana siku hizi kumepitiliza
Kipato chetu ni kidogo, hata kama tunapangisha hizi pesa tunazopata hazilingani na mishahara
yetu… TUACHENI TUPUMUE ondoeni kodi za nyumba, kwa Bongo nyumba sio biashara Chondechonde.

Tutapigika mno nyumba yako halafu bado unatozwa kodi

Ulaaniwe Jiweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Watanzania mtapata tabu sana chini ya utawala dhalimu wa ccm

!
!
Maamae… Tunaanza Kuongea Lugha Moja

Mbona wewe unajitoa kwenye kundi la watanzania?

Nadhani huyo ni diaspora…

Mtu akiwa mdiaspora na ndugu kibao huku bongo land anajiwekaje nje ya kundi?

Hakika kodi ya nyumba ni unyang’anyi mkubwa! Nyumba zenyewe zimejengwa kwa miaka mitano au zaidi na bado hazijakamilika kikamilifu lakini bado unatozwa kodi!!

Kwajinsi alivyojaa jeuri na kibri, sidhani kama huyu Baba atasikilza kilio chetu

Halafu pesa hizo hizo zinapigwa ukiuliza hakuna jibu. Lol!

Wabongo hawachelewi kujisahau, ‘utamsikia shauri yenu’!..

Jiwe anawazaga kodi tu badala ya kuwaza kupanua wigo wa vyanzo vya mapato

Aliyekuambia mimi ni mtanzania kakudanganya

Ipo siku tutalipia Hadi nguo tunazovaa

Huku Kenya anaweza kuwa mkenya vile vile

Mkenya mwenye Kiswahili cha aina ile!? :confused::confused::confused: Hmm, labda inawezekana!..

Hatari sana!

Ujanja wetu umeangukia pabaya 10 years of JPM