Sioni sababu ya kuwachukia wanawake

Kwa muda mrefu nimetafakari Sana na kuona hakuna haja ya kuwachukia wanawake wote kwa kuwavisha makosa ya wachache wasio waaminifu kwa wapenzi wao.

Nina amini wapo wanawake wengi wanaojitambua. Wenye hofu ya MUNGU na kujua thamani ya mahusiano & ndoa kwa ujumla.

Tusiwachukie wadada.

2 Likes

The problem is the pressure they have. Women tend to distinguish thier relationships. She might be good but as time goes by she changes. There is a slight difference between the Kienyejis one and hawa wengine wa tao. Jogoo akifika mjini atawika

5 Likes

Women only need to be given the attention they deserve and for you to take care of your child(ren).

That’s it.

7 Likes

For the man or woman to take care of children…which is which Mkubwa?

4 Likes

You as the biological father. Be there for your kids, support and encourage them. That’s all she wants.

5 Likes

Absolutely

1 Like

Sina maoni pris

2 Likes

saa zingine una angushanga point naona kweli ni kama umechinjia wazee mbuzi

4 Likes

niaje waturedio, mimi ninapenda kutomba ikus ya mwanmke laiye an soft meat na sisumbui

2 Likes

Jogoo wa kijijini huwa hawiki mjini :joy:

The real definition of akifika mjini huwika…

4 Likes

Ungesema akifika mjini huliwa na wajanja ningekuelewa vizuri chalii angu

2 Likes

Blockquote
Ni hivyo Kiongoss

1 Like

Hufika mjini na kujifanya anaweza wika lakini huliwa na wajanja mwishowe.