Sioni mwana CCM waliweza kujibu NONDO hizi za Mh David Silinde

[ATTACH=full]178476[/ATTACH]

Vijana wa upinzani wako vizuri mno kwa kujenga hoja!!

Kuna nyingine mpya ya juzi ya kumfananisha jiwe na marais was China Korea Singapore na Mandela nimecheka mpaka mbavu

Kuna moja tena kaHANGIA jana kwenye bajeti kuu, Huy kijana kuonyesha uwezo mkubwa. Anatoa darasa ambalo kikawaida tu lazima umwelewe. Hongera zake

Ndio maana jiwe alifunga bunge live

Nauliza kwani Pole pole yeye kasema je?

Polepole hawezi kutoa neno kwani hoja hizo ziko juu ya uwezo wake wa kufikiri!

Jiwe no mshamba sana

Jiwe ni mshamba atatuachia nchi iliyofilisika