Sio kabaya sana

So today I check in Mwambasani with wife and the kids kutoroka baridi ya Nai for a few days. The hotel I had booked gave me an all inclusive rate. Kufika wanasema my beloved Tusker is not part of the all inclusive deal. Ati only Pilsner and Balozi. Well, I have been a Tusker guy for as long as I can remember but nothing is going to spoil my parte…
[ATTACH=full]374534[/ATTACH]

I hate free things. especially beer.

How is it free when you’ve paid 18k per room per night for full board accommodation and drinks?

Nimesikia leo huko upepo itakuwa ngori. Ukifika pale kingstone tuambie kama hizo waves zimevuka ukuta.

Balosi tastes like goal urine

Balozi si mbaya

I can’t drink that Balozi shiet. Afadhali nitafute chang’aa nikunywe

Tusker lager baridi always wins

wezi hawananga taste

:D:Dmarisa hio jangili ya mtu

you cant afford.

[COLOR=rgb(124, 112, 107)]Figsed.

ua io nugu @johntez addi gaza msafi ulete io mwili yake nipee nguruwe zangu.
takataka ya kayole

Na pakiti ya supermatch menthol kwa meza

Nowhere on the kenyan coast utapata tusker kwa all inclusive unless ulipe ka non resident which is not really that steep,utakunywa atleast ka courvoisier vsop . Hapo ni voyager? Hao ndo hupatiana balozi atleast,kwingine kwote ni keg. Makali ndio worse,kama ni vodo utapewa KC,whiskey sijui ni gani otherwise utapambana na simba cane or some shït,boss,utahara uchukie mombasa. Nikibeba fam,kunakuwaga na trolley extra ‘ya babaa’ nakuaga nimejibebea zangu za kushikilia hadi nirudi kanairo. Jaribu baobab next time,kuna barman anaitwa mwinyi,muone ka kirru,atakujenga ma tusker but kwa tall glass

Uko Voyager?

I can afford better than that bottled urine