Those are 10 whole votes…
Hahahaaaa… uko na experience. Na hao watatu unasema ni wake kweli?
10 votes za odm.
Ni wake legally. but cant confirm biologically.
Hahahaaaaa… kwenda huko mkora wewe:p
you are very lucky ninja alikuoa ukiwa na 3 kids, treat him like a king akienda replacing him is almost impossible
Wah ulipanulia watu 5 yenyewe uliangukia fala anakuchukua na 5 children