Hiz story za watu kuoa singo matha nadhaningi ni hekaya za jaba kumbe ni vitu zinahappen banae.
Morio wangu saa hii anadate singo matha na ananishow anadai kumuoa. Nimeshtuka. Mimi niliona huyo jamaa alikuwa anadai kukula slices aingie mitini lakini saa hii amechange mind anadai kuenda kwao waone vile watapanga harusi. Dem naye ako 24 with a 3 year old kid. Maajabu haya.
Na watu wanaoa singo matha sana na vile tunawakashifu sana huku. @Yuletapeli hebu leta hekaya yako.
:D:D:D:D:D… kijana Ako zombiefied na Kuma Wacha he puts a ring on it na azaliwe katoto kengine ndio atajua single mother chieth are best avoided like anthrax
talkers will never cease to please me juu @Karoga akiambiwa atoke MGAYTOW mnasema Kila nyani na starehe zake @Trucker akiambiwa aachane na Malaya anajitetea vivyo hivyo
wewe @Kuna Vitu Sipendi ukiambiwa uache kukamua mama fua unajibu vilevile
Sasa mbona kijana Kama amepata starehe Kwa singo matha si umwache tuuu…wacheni kusumbua @Yuletapeli akiwa planteshen…ungesema tuu Kila nyani na starehe zake story iishie hapo
How a man makes a decision to raise another man’s kid ndio sijawahi elewa. Baba mtoto anaendelea kula raha na mujamaa mjinga analea, analipa school fees :D:D
Sema tuu ni wewe unataka some encouragement. @Yuletapeli msichana akimaliza KCSE alikua hapo kwa gate anamngoja aende aoe unataka akuambie nini. Mambo ya single matha uliza @byro the fukuswii