Singo mathas

For fear of the Wuhan virus they’ve all taken their children to shags. Blame yourself if you ain’t getting slices from a singo matha near you.

Ha ha ha nilihang boots, sahii ningekuwa nawaangusha kuangusha.

FIGSED.

that means wako pekee yao

Uliachana na ile ya Bungoma?

:rolleyes::cool:

Kukula singo mathas ni achievement kwako?

Actually mi kuwakula ni achievement kwao

ulihang boots ama generator ilimaliza horsepower:D:D:D

Kuna mmoja hapa jirani yangu anagawa kugawa 24/7. Hata Mimi ananifungia jicho Kwa mbali lakini sitaki kutenda dhambi.