Sina Float

Hawa banking agents kwani they don’t ensure their agents wako na float… Ile mbaya kabisa ni Family Bank, utazurura ukitafuta agent ako na float mpaka kiatu iishe, na wengine ni wa TKash, hawa majamaa never have float kwanza wale wa mtaani…

who the fuck banks with Family BONK?

My sentiments exactly!! Ata sikujua family bank had agents!! Tkash is non existent once you leave CBD.

Stick to agents za tier 1 banks na Mpesa.

Biashara ni mbaya

Please kaeni Tu Kwa mpesa na Equitel

Ukijua ile chuom huwa na float stick to that ukienda zingine utakuwa disappointed

vitu zingine na account pia ni za kuficha pesa hutaki kutumia… :D:D:D

Fuliza imefanya wadau kuhepa Mpesa kama chieth… watu pale machinani wanafuliza kisha wanatupa line…

Upuzi wa Wakenya