simple restaurants| new trends

hii simplicity ndo form siku hizi… like this outdoor one, utaminimize expenses sana

[ATTACH=full]381749[/ATTACH]

[ATTACH=full]381750[/ATTACH]

Figsed

Constructing mine in a few weeks. Still hunting for more ideas

I prefer indoors…hii mara upepo labda ka mvua ama doosh inawinda food yako.

it’s a new trend, alafu wekea watu green carpet kama zile za stadiums watu waache kukanyanga matope… shida sasa ni wakenya hawapendi kuonyeshwa kitu, in some few months every kamau, njoki and njuguna with some few hundred thaosads atakua na restaurant yake ata kama ni huko timborua

I’ll have an indoor area and an outdoor seating. So if it drizzles or rains watu ndani.

Pia inzi

I hope food is cheap as the place.

Izo viti sio cheap ivo, na inahitaji mahali kuna security, na rent sio kidogo mahali unaweza wacha viti kama izo nje

si uniite siku moja niione mkuu

iko milimani kwa cool kids

Will be starting mid next month