Tulitransfer kula huko, tukalala huko, tukaenda sote kupiga kula but our candidate got only 30k from 130k
1 Like
kweli mlikula kiapo
2 Likes
Mkuki Ni tamu kwa nguruwe Na chungu kwa binadamu.si wako Na nyongo? Rails must be having fun watching the two spewing bile
:D:D…silabi ya ‘r’ na ‘ra’ ina mushkil kwa sasa.
1 Like
Kama alishinda cha ukweli, anakula ndimu ya nini?
You wish
Kwani raila aliwafanyia nini nyinyi wa mumbi? Hiyo chuki Ni conc.sana
I hate the idiot with a passion. Ata mimi nitasema kama Okwonkwo, nikapata grand daughter wake atatii.
3 Likes
Kwani juu mtu haelewani na wewe inamaanisha ni mkikuyu?
1 Like
Start getting used to him.he will be your leader for the next five
@jaymoh niaje