President Uhuru Kenyatta addressing residents of Mtwapa in Kilifi County.
[ATTACH=full]55764[/ATTACH] [ATTACH=full]55765[/ATTACH] [ATTACH=full]55766[/ATTACH]
niaje musubcounty?huku subcounty ni kazi tu ,malami kwa mabarabara
Poa Sana Wakameat, Tell me barabara ya waithaka kirigu to ndunyu iko na rami
sasa babu itabidi Aeende huko tena kusafisha hii…mnachokesha baboun bana
haogopi alsabab!!!
ndio wanaendelea kuweka,na kale ka waithaka kupitia kwa chifu mpaka muthama bado kanawekwa lami
Sihako kalikua na rami toka kitambo, wapi @Purr_27 na @Lucky_Luciano
ilikuwa imeisha na serikali ya kibaki
Na hio ya kuenda ruthimitu and kagira primary schools?
Paisley shirts iko sawa.
he he he
huko ni kwa mapeasants
Mimi kama mwachama wa ODM na sema coalition government started all this
Siku hizi hawezi kuwafuata. Going after UK to Israel, France, etc. broke his bank, na pesa za Paybill 673672 na 673673 zikaisha.
alipitia club Kenda ama Maggie alikuwa radar?
Alienda kufungua “sabasaba” ya Mtwapa. Since the original one pale Island Msomali bought the place and chased the marayas away. I hope alichukua maraya mmoja akafikisha threshold.
Soko bado iko! Bar pekee yake ndio ilifungwa!
Eeeeh !!! I thought Msomali alisema maraya ni haram…Kama vile fobe ni haram akaamua kuchuja hizo pub…
Lodge haikufungwa! Na kuna good old Sabasaba Bar, Maswa Bar na Limuru Bar around the place!