Wandering on the interwebs.
2 Likes
[MEDIA=facebook]1127079443968844[/MEDIA]
5 Likes
Why they do the fat guy like that?
1 Like
Mpaka amechiziā¦ looooooooool
1 Like
Nimecheka mpaka nikamwaga chai bana. Hii ndio unapatanga mtu ameua unaambiwa sababu ni shampoo unashanga.
1 Like
Huyo mrasta amepiga huyo jamaa
1 Like
Amempiga si umecheki amemtackle. Hawa watu hua wanarisk bana kuna beshte yangu nilimshtua ile ya kawaida kimchezo nakwambia tu alireflex na ngumi ya jicho mpaka nikaona vimulimuli.
1 Like
:D:D:D
pole
1 Like