Silinde:Tumepiga kura za hapana kwa sababu Serikali haisikilizi wananchi

https://www.youtube.com/watch?v=mMqMSxVDhnk

Habari ndiyo hiyo

Ahsante kwa kutuweka sawa,tuko pamoja nanyi kwenye kuupigania ukweli
Nalog off

Haswaaaaaaaa

!
!
Bundle Problem. Kasemaje Kwani Wadau

Mmefanya vema sana…
Tunaoelewa utendaji wa serikali hii…
Tumewaelewa.

Ufanye kunitagi wakikueleza alichoongea maana hata mie MB ni tatizo

Okay…

Nyie ni mifano halisi ya Kuisoma namba. sisiemu mbele kwa mbele

Silinde ni jamaa mmoja smart sana upstairs.