Silencer

Jana nikiwa kwa mat ya Chudda, tukiwa hapo stage ya Nakumatt Likoni, a guy comes to the door as if anataka kuboard. Donda akamwambia gari limejaa na habebi excess. Mi nlikuwa kwa hiki kiti kinakuanga nyuma conductor, that lone seat. So jamaa akascan gari kwa macho then he looked at me na madharau ni kama mimi ndio nilijaza gari na akashuka.

Wacha mlango ufungwe, weee. Ile harufu huyu fala alikuwa ameachilia, mpaka nkaona mama flani alikuwa hapo nyuma ya dere akitoa pumu, ile ya asthma, she was suffocating. So wakati huyu sokwe akijifanya anaangalia nafasi kwa gari alikuwa anaachilia silencer. Watu walijam, kutukana, kulaani yaani mpaka unafeel kucheka, mnajua matusi za wacoast.
Imagine na hii weather sai ya baridi vile hizo dirisha zote zilikuwa zimefungwa, tukajaribu kuangalia nje but the idiot had disappeared, very stupid.

:D:D:D:D:D:D

Unatosha kuwa sponsor direct ,ile bangi ulivuta ni original, hundred green emojis kwako.

Niaje Ofisa mla rushwa

Very stupid indeed :D:D:D:D:D:D:D

niaje wochman

Poa sana murunga ,ulimea kuma ngapi?

:D:D:D sijasema ni wewe. Lakini kwani ulikua umekula nini?

whuot a treat!

Nitakutusi ya bure rushwa nilikula ya mama yako?

Maze tumbo lilijaa gas, nkatema mate throughout the trip, nkt

Ulipatana na @Adeudeu baada ya kukula mixture ya pweza na papa.

:D:D:D:D:D:D

:D:D…i’ve seen a similar confession

[ATTACH=full]169165[/ATTACH]

Yaitwa yussssssssssssssufu

Rekebisha chief kabla wakuje ,it will be bloody , shameful ,messy embarrassing for a whole chief to misspell beautiful words.

:D:D:D spot on

La haula @Chiefkinembe

Hehe i thought pumu ni asthma

Must have met kihii kiaganu after amekula zile vitu zake.