Sikuli Mutura tena

Wadau jana nilikula mutura leo nanyamba sana kwa ofisi since morning. halafu harufu ya mnyambo ni ile conc.
Lakini nani aliambia @adminstrator the old UI was bad? Waafrika tuko na IQ ndogo sana, we always think fancy is better. Hata faebook hii miaka yote very little has changed on the UI

4 Likes

I thought, uko na degree. What challenges are you having akina @PHARMACY will help you understand.

8 Likes

The previous UI was simple and straight to the point. Nobody wants to be bombarded with 100 headings and tags at once. Ati sijui latest, news categories drafts, subsections etc. When designing UI you should consider the target audience. we are not small kids to be excited by fancy features

14 Likes

Na emoji za heart ati ni like !!!. Admin should be check upstairs

7 Likes

Mitura chorea kabisa.

Hapa NI kupangwa Bro.

Pangika Mos Mos.

1 Like

@Electronics4u toa izo emoji za heart. Tafasali.

5 Likes

@PHARMACY naona ni Kama kuna customer mpya…i naona ni sweep chini ya maji

2 Likes

@Clare_Njesh shida yako ni nini. Cramps zinakusumbua Njeri Kodiaga?

4 Likes

Bana…waweke thumbs up like…love emoji kwa comments aje sasa…

3 Likes

Kuongea okweli hii UI inaudhi fipaya sana gaaki . Afatari hata waruudise ire ya samani

3 Likes

For the first time nakuunga mkono stupid kisii guy

2 Likes

Ata afadhali green emoji kuliko heart. Mimi sina heart ata. Ni jiwe

2 Likes

Mutura is a no-go zone, especially yenye haujajitengenezea mwenyewe. Zile ufala hao wasee huchukua from the slaughterhouse and roadkills are unspeakable. Vitu hata huwezi taja hapa

1 Like

Bana…

3 Likes

Rorest

Utakula block immediately imeregeshwa. Meffi

Njesh anataka kuharibia watu appetite ya motuch…

1 Like

Imagine bana

1 Like

I feel ashamed an elder nikilike na heart emoji :heart: i don’t know how like na heart zinaingiliana Admin @adminstrator @Electronics4u should consider a thumb up :+1: na waweke thumb down :-1:for umeffi thread

2 Likes