Siku ya Swara

Kuna siku tu mashida hudecide zikuje at once. Today was one of those days. Woke up with a nasty toothache. Couldn’t even drink tea. I decide to check on one of my assets, and 200k is missing…gone. I decide to check on another asset, 170k gone…so leo nimeumwa na meno sijakula any since morning, and my networth is minus 370k. My name is M2Random, and today is the longest day of my life. #24

Kuna wanaume wamepoteza millions in business deals leo na hawatusumbui

Mimi sio sonko…so that is a big deal to me until nikuwe sponsor.

1 Like

Na kwa hio investimenti imebaki, ni 15k pekeyake ya root canal umekosa? Au wewe ni birrionea pande gani?

16 Likes

ngojea thread za single mothers utoe maoni,brare fukin shiet

5 Likes

:D:D:DUkiumwa na meno siku moja unaenda root canal??

Shida yako ndio hii mr expert[ATTACH=full]78692[/ATTACH]

3 Likes

Niaje general kiguoya

Hii ni story ya giants

1 Like

Relax. Take a step back and check things from a distance. Sasa plan pole pole uone vile uta overtake hizo losses.

2 Likes

kiguoya ni nini?mimi sio mungiki

i am surprised my car did not drive itself to Grogon on this rather bad day…

6 Likes

sema umeendesha nduthi trip mbili leo, trip ya kwanza hao ni 200k kids kwa tissue trip ya pili 170k kids kwa tissue. sasa unaona venye mtoi mmoja hapo angekuwa obama mwingine bingwa mwingine trump mwingine singo matha mwingine wankernyama mwingine TMT unaona tu hasara

5 Likes

Hehehehe…
Tangu lini jino likapona? Ushawai skia any other cause ya jino kuuma, ama unategea cavity ndio ukubali una shida?

1 Like

cheki msitooooo uncle yangu .

[MEDIA=facebook]1197556573633129[/MEDIA]

1 Like

:D:D:D:D

anko wenga huvuruta bangi

1 Like

Mimi bet imeungua…

game ya ivory coast sio? me 2

1 Like

@introvert…;):wink: