'' Siku ya Sokwe duniani" Kila mnyama akipewa siku si kutakuwa fujo..

14/7/2017 ni siku ya sokwe duniani.

Hii dunia inavituko, tunakoelekea siku zote zitaisha aisee.

Natamani kuwe na ‘’ Siku ya nyumbu duniani".

“ni siku ya sokwe” au " ilikuwa siku ya sokwe"???

next month mazee nilichapia kidogo.

Wazungu wanajua wanachokifanya, wanasherehekea biashara ya madawa wanayotengeneza na kuwapatia faida kubwa sana baada ya kua wameleta magonjwa katika sayari hii ya dunia kupitia mnyama sokwe

aseeh kwaiyo ni sikukuu mkuu, tunapumzika nyumban.?

Hivi watu weusi si walishaitwa kuwa ni sokwe?

Hizi siku tuzitafakari kisha tuzipotezee

Sio nchi zote zinaadhimisha “Siku ya Sokwe Duniani” Nitashangaa Morocco na Libya wakiadhimisha, au Tanzania ikiadhimisha siku ya Dubu (Polar Bear), Panda na Kangaroo duniani

Hii siku inawafaa wanyarwanda na wa Congo ,maana wao wana masokwe wakutosha,kiasi wanamewalebo kbs

Ooh!! Kumbe ni hivi?

Ndio hivyo mkuu, jamaa sio watu wazuri wale

Mambo yao waachie wenyewe…

Cc: @Mahondaw