Siku ya nyagus pale highshool boarding

Nyagus tulikuwa tunapewa three times in a week. Sunday dinner, Wednesday Lunches na Friday Dinner. Hizi day zilikuwa spesho sana manze. The other days ilikuwa vegetarian banae. Ugali kabichi ama githeri kavu.

Anyway siku ya nyaguss for exampo hio Friday dinner ilikuwa Sembe kabichi na nyagu piece tatu kubwa kubwa na soup.

As usual bell ya supper ikifika sisi born town students hatukuwa na haraka. Unawacha wasee wa ocha like the peasants they were na manjaa njaa zao to run to the DH waskumane kama chokora kwa line.

Timing yetu city boys ilikuwa after 30mins. Saizo ocha niggas ndio zinamalizia dish zao lakini bado zimebangaiza hapo kwa meza ya DH

Unaingia hapo DH ukiwa fully stocked. Avocado, Royco, Nyanya na kitungu ambao ulikata kitambo.

Wekesha ile sembeste kabichi na nyagu kwa meza. Unaongeza ma ingredients banae. Ocha niggas hazikua na ingridients zinaskia tuu tamaa.

Kidogo unatoa kwa quencher juice unaiweka kwa kikombe na unamix na maji. Msee wa ocha is now feeling tamaa banae.

Unasosi mdogo mdogo as msee wa ocha watch u. Kidogo msee wa ocha mshiny eye mmoja analeta kikombe yake ati nimwagie kajuo.

Ule mshiny eye unampiga RKO juu ya meza ya DH banaa anaanguka na uko na hizo vikombe zake na masahani. Anatoka DH mbio mbio straight to bed never to be seen ever again until the next day…those were my days.
[ATTACH=full]281223[/ATTACH]

hii midget fala inasemaje?

fwakin

:D:D:D Nyanya na onion unatoa wapi panyaste? Kwani ulisomea shule ya wazungu?

Avocado na royco hio ni understandable but kachumbari… si ulikuwa mbele sana.

Mimi shopping nilikuwa nachukua bar soap Kama kumi. Nikienda chuo napea chief cook bar soap full tano, hapo Niko assured bakuli ya nyama na top layer for the whole term

Our school allowed one of the mkono workers to start a small grocery kibandaski in the school compound. Alikuwa anauza avocado, nyanya and onions which students liked to mix kwa dishy yao.

We also had a school canteen that sold bread and chips.

Sisi our DH used to sell smokies at breakfast and dinner for ksh 10 each. We also had bread and tea after supper daily, and the ugali + sukuma always had meat. Ni shule gani hii @Panyaste★? It sounds like a national school where they have students from all over the country and all socio-economic backgrounds.

Nyakemincha mixed day school

Smokies 10? You must be 57yrs old
.
Mimi one packet of cigarettes for omwami the cook who served and the occasionall 5 or 10 shillings ilisaidia sana nakula kama king. Highway secondary had the best food why lie.

Before going back to school nilikua na karanga kitunguu na royco na mafuta mob nabeba.Just a table spoon of it na chakula zote zilikua zina kulika

When you’re next to the ground, you inherently have certain advantages over guys far from it.
You’re the first to see tomatoes n onions ambazo zimesahaulika chini…

The only way utapanga line ya food mpaka ubebwe :D:D
[ATTACH=full]281238[/ATTACH]

I carried kitungu fried with tilly white cooking fat na unapoesha inaganda tena known as “sublenya” ukifungua,dorm mzima inanukia. 3 bar soap for teachers’ cook anakupatia food ya walimu ilibaki for whole term.

Leo umwamua kuturudisha nyuma.

Mimi our cook was Luo. ODM die hard. Nikifika Kwa serving I used to ODM CHUNGWA MOJA MAISHA BORA. Namalizia na ketna kuon maduong. Hio sahani ilikuwa inafurika.

Kiptoo ni shule gani Hii ulikua unapewa nyama tatu

Now i understand why Africa wont develop.
From childhood Watu wanawaza kuiba chakula au kulilia chakula

When in form one managed to muscle in became kijana ya kuserve nyama…
Had this oversize sweater niliinherit kutoka kwa alumni

Ur not the sharpest tool in the shed

food is the stuff of life.

DH captain Ali jaribu hii mchezo mbele ya bouncer kwa club ile koffi nilipeana usitake sikia nduru ya bubu