Siku ya Kugenya Ikifika imefika

Last sato mavijana walienda kuchapia place fulani hapo Kayole junction. Kina uwesmake na Vuja de wanajua hiyo place vipoa sana. For the rest wacha niwachanue. Kamata Kangundo road. Pita Umoja, Komarock na Saika on your right then Kayole junction iko on your left. Kuna petrol station kubwa sana hapo ya Total claimed to belong to Ora ora wa Mahiga. Former Embakasi MP and now the MP wa kina Kush fatso (by the way ako sawa? ( kush) Coz tangu jana amekua MIA sana ama waarabu wamemfunga?).

Back to the hekss. The youths numberd 5 all boys of course. Pwa… pwa… pwa… pwa. Hiyo ni exchange of fire kutoka kwa afande mmoja shupavu sana anaitwa Meja. Kijana mmoja chini. The rest wakahepa. Meja aka concentrate na wale wamehepa huyo nyuma yao mbio wakapotelea maili saba. Kumbe yule mmoja hakua amegenya. Akasimama ile ndengu ilikua imempata kwa mguu. Akastroll akapotelea kwa giza hapo fugo feeds nyuma.

The next day mchana the guy managed to convince a boda guy ampeleke hosi. Kuenda kwa local zahanati akapata kwark akasema yeye hawezi hiyo mbulu. Next step mama lucy hospital. Ndooooooo ndooooo kufika junction ya kwenda kwa kina Vuja De (Dandora) Ki namba 18 (Nissan ya Komarock Eastleigh) ikawa inaovertake recklessly. Rrrrŕrr swav hadi kwa mtaro. Krrrrrrrr Pistol ikatoka kwa mfuko ya jambazi na kuslide kwa barabara hadi kwa wamathe wanauza manduma hapo opposite MYSA (hii place mysa watu wanakula tu hawasaidii mayouth ni sawa tu lakini). Wamama Uuuuuwiii Uuuuuwiiiii mwizi mwizi. Coincidently OCS wa Mwolem na land cruiser yake alikua anpita mos mos tu.

Chaaaaa huyo chini mbioo kale kamsee kalikua kanapelekwa Mama Lucy kakajificha nyuma ya container iko hapo kwa field inaelekea Komarock. Kuja hapa kajamaa ka bodaboda kakanaswa. Paaaa paaa makofi kama 12 za OCS tupeleke kwa wenzako. Kajamaa kanajaribu kuexplain kananyamazishwa na kofi ingine. Kakabebwa kakaambiwa lead the way. Hao Vuum vuum hadi Maili Saba. Kakaonyeshana nyumba (apparently walikua wanafanyaga ugondi pamoja). Karau wakaruka ndani na kuopen fire. Pwa pwa pwa pwa pwa pwa. Aftermat wale majamaa walihepa mara ya kwanza wanne na warembo wawili walikua chini kwa ground wameuma pamba.

Moral ya story siku yako kama hijafika haijafika.

Pwa! Pwa! Pwa! Pwa! Na kulamba vumbi.

Ulikua omnipresent ukichukua hii story. Big up boss.

Tanakari za sauti Kwa hekaya ziko sawa

heheh:D:D:D

Zi ni madengu zinatupwa

uko kwa kina uncle @uwes ata nikipewa nyumba free sigwes na sigwes ishi.

Huyu jamaa wetu alienda wapi?

so ule alishootiwa kwa mguu bado ako hai

Probably kalirudi ocha. No one knows

Affirmative

sad storo to jamaa wa nduthi…

Only mbisha missing for the hekaya kufikisha threshold.

Why he was a thug too which many of them are.

huyu @Uncle Best either ni thegi mkubwa ama ni beast

Fala 12 neither of those. I am just the favourite uncle in ktalk.

onomatopoeia iko juu

Aftermat.

Hii ndio matatu ya kuenda afterlife ama.
AFTERMAT SACCO

Sasa mbona waliua madem? awa mafala wanaeza kuua kiufala na huna makosa

Lazy toi’s dont wanna hustle hard they just wanna rip people off. Wapewe ndengu ka yote