Good morning Kenyan…
Leo ni siku nzuri kama zilivyosiku zingine Mungu amebless na uhai tena kama zilivyosiku zingine. Kwa nguvu zote tunapaswa kuuringia uhai kuliko kitu chochote. Kuna watu walitamani waione siku hii murua ya leo lakini imeshindikana, yoote ni mipango ya Mungu kama alivyo na anavyopanga katika siku zilizopita na zijazo. Shukuru Kwa kila jambo, tujifunze.