Kuna neighbour ametupa tampons na used always kwa gate yangu.Nimesikia zimegonga gate kwenda kucheki hakuna mtu,Watchie wa court na ye hakuwa karibu.
Ni uchawi au nini?
Na vile sinaga maneno mengi na watu,sasa hizi ni gani,madharau ya aina gani hii.
Otherwise nataka kusema i miss @BBIsiMuhimu finally he managed to raise 20k and left
You are sorrounded by witches. Sorround yourself with the blood of Jesus
Zipige teke na uwache kufikiria vitu za kijinga
…wewe kuisha!!!
:D:D [sa najua umeingiza baridi]
Thirimaii:
Kuna neighbour ametupa tampons na used always kwa gate yangu.Nimesikia zimegonga gate kwenda kucheki hakuna mtu,Watchie wa court na ye hakuwa karibu.
Ni uchawi au nini?
Na vile sinaga maneno mengi na watu,sasa hizi ni gani,madharau ya aina gani hii.
Otherwise nataka kusema i miss @BBIsiMuhimu finally he managed to raise 20k and left
Even the females in your hood are tired of your skuma tendencies
Am suspecting ni wewe,umekuwa na umama sana lately
Sana buana and it is the 2nd incident
Hii ni mara ya pili buana,za jana zilikuwa mob…
Demakuvu:
Sawa mtombane sasa.
Saidia na mawaidha ya cctv poa yenye itaona poa kwa giza
Itabidi uweke “poster” hapo nje pamoja na hio exhibit. Poster should read “mwenye hizi vitu nampatia siku mbili tu ajisalimishe ama ajue mimi ni mkamba”
Si neighbourhood itaniogopa…
Yuletapeli:
Lazima heshima itafutwe.
Some homes which do not pay service charges ndio wanapelelezwa
Jaweed
July 1, 2022, 7:26am
16
Thirimaii:
Kuna neighbour ametupa tampons na used always kwa gate yangu.Nimesikia zimegonga gate kwenda kucheki hakuna mtu,Watchie wa court na ye hakuwa karibu.
Ni uchawi au nini?
Na vile sinaga maneno mengi na watu,sasa hizi ni gani,madharau ya aina gani hii.
Otherwise nataka kusema i miss @BBIsiMuhimu finally he managed to raise 20k and left
sema ukweli izo vitu unajua place zimetoka wacha kutupima bangi nani
Nimesema na suspect @ChifuMbitika last time i checked he used to wear such paraphenalias
Jaweed
July 1, 2022, 7:31am
18
Basi zitoe an tuendelee an mambo ya SUgoi Moneyfestos
Ni kama Wajakoya amekupatia ile yenye imetoka Jomeika…puff mdogo mdogo jamaa…my prolem is real
Thirimaii:
Kuna neighbour ametupa tampons na used always kwa gate yangu.Nimesikia zimegonga gate kwenda kucheki hakuna mtu,Watchie wa court na ye hakuwa karibu.
Ni uchawi au nini?
Na vile sinaga maneno mengi na watu,sasa hizi ni gani,madharau ya aina gani hii.
Otherwise nataka kusema i miss @BBIsiMuhimu finally he managed to raise 20k and left
Wanajaribu kufukuza hizo pepo chafu zako za ushoga.
Na priss, pambana na hali yako. Hapana sumbua jiji na hii upuss.