https://x.com/iamAbode/status/1828967319294586903?t=ee2iVQTQTmENYkkss7buwg&s=19
Jaba tingz. 3/10 for imagination.
Kuna jamaa neighbor. Yangu ambaye aliingia kanisa fulani. Sasa huyo pastor alikuwa anatembelea huyo mama almost every week na kupikiwa chakula kizuri, mayai, chai etc. Vile bwanake alijua, aliita bibi akamwambia next time huyo pastor akikanyanga kwa boma yake atawapiga vita mbaya wote na afukuze huyo bibi aende akae na pastor.
1 Like
Huyu anaweza kua dominated na bdsm