Sikiliza mchango wa Hawa Gasia

https://www.youtube.com/watch?v=mZIVXJcrZgc

Mbona haina sauti, au kwangu tu?..

Sauti iko chini mno, tumia earphones

Kama kuna Mwanamke ’ Mafia ’ nchini Tanzania basi ni…! [COLOR=rgb(184, 49, 47)]Naomba niishie hapa tafadhali.

[ATTACH=full]179608[/ATTACH]

Hapo Kuna wapiga dili wamefuatwa Kwenye anga zao Ndio shida

Mwisho wa ubaya ni aibu

Kibajaji haaaa

Duh kumbe awamu hii kila mtu analia

Mmmmhhhh…!!! Kwa kweli wajameni sasa naomba nimpongeze Rasmi John Joseph Pombe Magufuli. Kwa kweli hii Pombe ni kali. Kama imeweza kuwafanya hata akina Hawa Ghasia - mind you - GHASIA - kama huyu hawa ambaye aliwahi kuwaambia wafanyakazi maneno ya kunya walipokuwa wanadai haki zao, alipokuwa WAZIRI WA UTUMISHI, Huyu Hawa ambaye kama Mbunge wa CCM ameshiriki katika kuunga mkono kuwanyanyasa wabunge wa Upinzani, ambapo wakati wa mwaka wa kwanza wa naibu spika Tulia, wapinzani mpaka walidiriki kuvaa vitambaa mdomoni, leo huyu Hawa Ghasia pombe imemlevya hadi anaongea maneno mazito namna hii, ambayo hata wapinzani hawajawahi kuyaongea! ama kweli Pombe ni nuksi. Lakini naona hajawahi kutokea Rais ambaye anapigwa kila kona namna hii. Pombe kweli utapona? maana najua unatunga sheria ya kupora fedha za wakulima wa korosho na fedha za halmashauri kwa sababu huna hela. unajidai Serikali yako tajiri imekamua fedha za majizi, huna lolote. na sidhani kama utapona. utapitia wapi, kama hata akina Ghasia wanakuwinda.

huko ni moto! embu tuone itakuweje

magufuri ajitafakari. Centralization ni dalili za udikteta na kufeli, amevuruga mfumo wa mapato kwa kujifanya mjuaji wakati hana lolote alijualo kwenye uchumi, mambo yanakua magumu ameanza kunyang’anya vyanzo vya mapato vya hamashauri na sehemu nyingine. Hivi yeye haoni kua ni upumbavu na unyanganyi wa wazi kuchukua fedha za korosho kisha anunulie bombadia au ajenge fly over dar es salaam, ni upuuzi mkubwa.

Nashindwa kumwelewa jiwe, hasa nini anataka. Rambirambi anakula, trilioni 1.5 anakula. Hela ya korosho anakula. Hili zee limeshindwa kazi. complete failure

Yanasikitisha sana…

Cc: @Mahondaw

Natamani kuwajua hao walioandaliwa kuwadhalilisha akina Hawa Ghasia

Yeye anakusanya na kununua ndege, kujenga sgr, sitigila goji nk hata kama mambo mengine hayapo kwenye bajeti

jiwe ni mwizi,kapora hela za watumishi,sasa anataka kupora hela za korosho.

Hata Wasuku wenzangu niliwakatalia wakati wanasambaza meseji za kuhamasishana kuliunga mkono jiwe ili lishinde! Mimi nilijua tangu mwanzo kwamba hili ni taahira litavuruga tu, sasa mpenzi wangu Ghasia naye analia?

Yani naichukia siasaaaaaa!!!

cc @Smart911

Nimemsikiliza Hawa leo anavyolia mbele ya bunge, alikuwaga na jeuri huyu mama ingawa nilikuwaga na mapenzi ya huba na yeye!! Mshangao wangu mkubwa kwenye video yake ni huyo kaka hapo nyuma yake, mbona anafanana na Lowassa hivyo? Au macho yangu?