Ati kucheza ng’ambo sio tiketi ya kupata namba true kwa kikosi bora ya taifa
Ina depend in ngambo gani.MTU kama waniama hawezi kosa namba.
Kuna player wa Egypt alileta maringo juu alikuwa anacheza EPL…coach wa Egypt alimtupa nje ya squad. Forgotten his name though but was a star player then in the EPL
hivo ndo wanyama ameambiwa
Mido
Yessss. That one. Thank you
Hata Okumbi alijidai kujua sana akisema ‘’ Just because someone is a top scorer in the KPL , doesn’t mean he will score when playing national ‘’ … na hivo ndio ujinga yake ilijulikana … kuweka watu hawa-perform anywhere expecting miracles from them .
That means those mediocre players from Kariofegi Sharks ndio bado watakuwa squad. Nyani ni wale wale, misitu ndio wamebadilishiwa sasa
hapo umeongea kweli kaka
True no wander kenya hatutawahi enda mahali
Nick owns Kariobangi Sharks, though amewatoa mbali.
Ndo bado tutabaki nyuma tu kisoka kenya